Saturday, January 23, 2016

MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA LA MAJI YA DAWASCO YAENDELEA KAWE-TEGETA

Matengenezo ya Bomba hili ndiyo yaliyopelekea kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji wa Ruvu Chini ambapo kwa muda wa saa 48 huduma ya maji itakosekana katika jiji la Dar Es Salaam na Bagamoyo

Kazi ya Kuunganisha Bomba la Maji kutoka mtambo wa uzalishaji wa Ruvu Chini ukiendelea katika eneo la Wazo Tegeta .
Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza juu ya matengemezo hayo alipotembelea katika eneo hilo kujionea shughuli zinavyoendelea. Imeandaliwa na Dixon Busagaga.

No comments: