Sunday, January 17, 2016

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU FELICIAN FERDNAND MINDE.KUFANYIKA LEO BALTIMORE

Felician Ferdinand Minde enzi yz uhai wake.


Watoto wa marehemu Felician Ferdnand Minde wa Capripoint,Mwanza( Frida Minde,Felina Minde na Felister Felix Felician) Waishio Maryland wanapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika misa maalum ya kumuombea mpendwa 
baba yao

 ambaye aliitwa na

Bwana tarehe 12/20/2015.



Misa itafanyika leo Jumampili January 17, 2016 kuanzia saa nane mchana katika kanisa katoliki la St. Edwards,
901 poplar Grove st 
Baltimore,MD 21216.

Baada ya misa tutaomba tujumuike pamoja katika chakula cha mchana hapo hapo kanisani.

Asanteni na Karibuni sana.


1 comment:

Anonymous said...

Bwana anetoa na bwana ametwaa! Rest in peace mzee felician.