Thursday, January 21, 2016

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NDANI YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NI SHIDA


imu kama barabara kujaa maji na kushindwa kupitika vizuri.
Katika eneo la Makumbusho Manispaa ya Kinondoni, njia ya kuingia kwenye kituo cha daladala ilijaa maji, kiasi cha magari kushindwa kupita, hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa magari katika Barabara ya Morocco - Mwenge.
Aidha, katika maeneo ya mabondeni yaliyopo Barabara ya Kilwa kando ya mto Kizinga Manispaa ya Temeke, kutokana na mvua hizo moja ya madaraja ya barabara hiyo yalikatika na kusababisha maji na michanga kuingia kwenye nyumba zilizo kando na mto huo.

No comments: