Thursday, January 21, 2016

Rambirambi kutoka Kansas Wichita

Image result for CCM LOGO
CCM-WICHITA
KANSAS
Wana CCM Tawi la Wichita-Kansas tumepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa
taarifa za msiba wa aliyekuwa M/Kiti wa CCM Tawi la DMV, na tunatoa salaam za pole na
rambirambi kwa familia, wana CCM na Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba huu
ulioacha pengo kubwa.
Hakika Marehemu GEORGE SEBO atakumbukwa muda mrefu kama kiongozi shujaa.
Mwenyezi Mungu awatie nguvu wote na kuwafanyia wepesi katika wakati huu mgumu wa
majonzi ya msiba wa ndugu yetu mpendwa
Bwana alitoa na bwana ametwaa
Imetolewa na
Kaimu M /Kiti wa Tawi
Patrick Mbez
Patrick Mbez

No comments: