Advertisements

Saturday, January 30, 2016

RATIBA YA SAFARI YA MWISHO YA MPENDWA WETU BABA YETU, KAKA, YETU, UNCLE GEORGE SEBO

Uncle George Sebo enzi ya uhai wake
Maziko ya mpendwa wetu George Sebo yatafanyika leo Jumamosi katika makaburi ya Gate Of Heaven saa 7 mchana kwenye anuani ya 
13801 Georgia Ave, 
Silver Spring, MD 20906.

Kabla ya hapo kutakua na ibada ya kumuaga mpendwa wetu katika kanisa la Evangel Cathederal kwenye anuani 
13901 Central Avenue, 
Upper Marlboro, MD 20774 
itakayoanza saa 3 asubuhi (9am) kwa kuaga mwili wa mpendwa wetu ikifuatiwa na ibada saa 4 asubuhi (10 am) mpaka saa 5 asubuhi (11 am) baada ya hapo familia itamuaga mpendwa wao kwa mara ya mwisho.

Baada ya hapo itaanza safari ya mwisho ya mpendwa kuelekea kwenye nyumba yake ya milele.

Baada ya kumpunzisha mpendwa wetu, wote tutajumuika pamoja na wafiwa kwa chakula na vinywaji  Hilton Garden Inn, Greenbelt, Maryland kwenye anuani 
7810 Wlker Dr, 
Greenbelt, MD 20770

KWA MAELEZO NA MAELEKEZO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA
KWA NAMBA ZIFUATAZO


240 565 7133


240 423 0437


301 674 9667

4 comments:

Anonymous said...

Angalau mmetoa ratiba maana watu walikuwa hawaelewi kinachoendelea.

Anonymous said...

Pumzika kwa amani incle George! Sisi tulikupenda lkn Mungu amekupenda zaidi akakuchukua. R. I. P.uncle!!

Anonymous said...

Rip uncle we will miss u

Anonymous said...

Bwana ametoa na bwana ametwaa; jina lake lihimidiwe. R.I.P uncle George