ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 27, 2016

TANGAZO LA KUOKOTWA VITAMBULISHO VYA EDDA MUSHI

 Picha ya msichana huyo kwenye moja ya vitambulisho vyake.
Mkoba wa mtu anayesadikika kuwa ni wa binti anayetambulika kwa jina la Edda J Mushi (pichani), umeokotwa maeneo ya Kota za Jeshi, Mtaa wa Nzasa, Mwenge jijijni Dar ambapo ndani yake kuna kadi ya benki ya CRDB na NMB, Kitambulisho cha kupigia kura, Kitambulisho cha NHIF huku kukiwa  na kipochi kidogo. 

Yeyote anayemfahamu binti huyu anaombwa ampe taarifa au apige simu kwenda namba 0683214128.

2 comments:

Anonymous said...

Sasa ndugu yangu mnaanika personal details zote hizo za huyu dada...si ndio mwanzo wa identity theft.

Anonymous said...

I know u mean well but I suspect It would have been more prudent to block a number of the ID's critical details such as date of birth, number za kadi ya benki na zile za ID pamoja na expirations. Picha ya sura tu shud have been sufficient. But who am I to say anything!