Advertisements

Saturday, January 30, 2016

TAZAMA VIDEO YA WEMA NA IDRIS WALIPOHOJIWA CLOUDS FM NA DIVA

Wema Sepetu na Idris Sultan wamekuwa gumzo wiki hii baada ya kuweka hadharani rasmi uhusiano wao uliokuwa ukifahamika kama tetesi tu kwa muda mrefu.
Couple ya ‘Wedris’ ilipata nafasi ya kuhojiwa exclusive na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kwenye kipindi cha Ala Za Roho usiku wa Alhamisi (Jan 28), ambapo kila mmoja alifunguka mambo mengi kuhusu toka walipokutana na kuanza kupendana, kuhusu wema alivyogundua kuwa ameshika ujauzito wa Idris na mambo mengine.
Kama hukupata bahati ya kusikiliza tazama hapa sehemu ya mahojiano hayo walipokuwa studio za Clouds Fm.

7 comments:

Anonymous said...

Mumsukuru Mungu amewapatia hiyo mimba. Basi mpunguze matangazo. Wabaya wengi wamewazunguka. Endeleeni kumuomba Mungu kwa neema ya mimba hiyo.

Anonymous said...

Cjui kwanini mnaueleza ulimwengu wakati ni miezi 3 tu mngesubiria zaidi

Cjui diamond atajisikiaje Sasa akijua umeshika mimba

Anonymous said...

Diamond has nothing to do with their relationship ,yeye ameshaendelea na maisha yake na mtoto wake wacheni kumsemasema kaka wa watu D,wema hongera zako lakini ulitakiwa ukae kimya kwanza lakini kwa kuwa unapendaga sana attention nothing surprises me,hope utatulia sasa,hongera sana na cheki bob wako,

Anonymous said...

Diamond bunduki yake haina risasi, Dume la mbegu hilo hapo Idris Sultani chezeya Mtanga

Anonymous said...

Couple imeendana na kila kitu kila la kheri WeDris

Anonymous said...

Mambo ya dotikomu kila kitu uwazi afiche kwani ameiba mimba? mimba yake mwenye mimba ameikubali kwa mikono yote wamo kwenye mahaba mazito furaha zote waacheni watangaze, ata akitusimulia jinsi ilivyoingia ruksaa muacheni Wema miaka miaaaa

Anonymous said...

Tunasikia mimba ni ya yule kigogo aliyemnunulia ile Range Rover Envogue...huyu Idris ni cover up ..amukeni wadau.