ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 20, 2016

VIONGOZI WA UKAWA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya Viongozi wa UKAWA walipokutana  Ofisini kwao Kawe Jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo ya faragha yaliyodumu kwa takriban masaa mawili kuanzia saa 9.30 mchana.(Picha na Salmin Said, OMKR)

3 comments:

Anonymous said...

Sipendi kucheka, lakini najiuliza huyu fisadi Lowasa ni kiongozi wa ukawa kwa namna gani?Nafasi yake kikazi ni kama nani zaidi ya yeye kuwa mgombea (former) urais? Hizi photo ops zinapotosha, kwani huyu jamaa kishakuwa irrelevant kwenye political scene ya Tanzania. Asubiri mahakama ya Mafisadi ianzishwe ili awe mteja no#1.

Anonymous said...

Fisadi Lowassa misifa tu ndiyo ina msumbua. Hana jipya.

Anonymous said...

mmemuona lowassa tu ndo fisadi kwani fisadi peke yake wengine mbona mnaogopa kuwataja.au kwa vile wanakufazilini na marafiki zenu.
nendeni zenu huko.ccm yote mafisadi na wewe ukiwa chama hiki ni fisadi tu hakuna namna ni fisadi tu .kazi nyuma.nyuma kwa nyuma