Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,
(Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Uingereza
nchini Bi. Dianna Melrose (katikati) . kulia ni Naibu Balozi wa Uingereza
nchini Bw. Matt Sutherlal walipomtembelea
Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kufahamiana na
kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Uingereza katika nyanja za Hifadhi
na Usimamizi wa Mazingira. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini)
1 comment:
huyu jamaa kwa foreign delegate kila kukicha nadhani anauota uwaziri wa nje sana, hivyo anatumia hiyo ofisi ya kulala usingizi kuforce issues. anapenda sana ukubwa wa media.
Post a Comment