Sunday, January 17, 2016

YALIYOJIRI KWENYE MECHI YA SIMBA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA

Mshambuliaji wa Simba, Daniel Lyanga akimiliki mpira huku akizongwa na kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Simba ilishinda 1-0.
Mshabuliaji wa Simba, Peter Mwalyanzi akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Ally Shomari.
Kocha wa Simba, Jackson Mayanja akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Mwinyi Kazimoto (kulia) akichuana na Henry Joseph.

Mwinyi Kazimoto (kulia) akichuana na Henry Joseph.
Ally Shomari akiwania mpira na Mwinyoi Kazimoto.

Mashabiki wa Simba wakishuhudia pambano la Simba na Mtibwa.  (Picha na Habari Mseto Blog)

No comments: