Familia ya Mwinjilisti Celina Lyimo hapa Washington DMV inapenda
kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika ibada ya shukrani ya
mpendwa Mama yake, Wedaeli Tarimo ambaye aliitwa
na Bwana katika nyumba yake ya milele tarehe 28 October, 2015.
Ibada itafanyika Jumapili ya tarehe 20 Februari, 2016 kuanzia saa 7:30 mchana
katika kanisa la
The Way of The Cross Gospel Ministries
Anwani ni
405 RIGGS RD NE
WASHINGTON DC, 20011
Familia itajumuika kwa chakula na vinywaji mara baada ya misa, hapo hapo kanisani.
Wote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment