FEBRUARY ni mwezi wa Reggae nchini Jamaica.
Na pia ni mwezi wa Historia ya watu weusi hapa Marekani.
Na mwaka huu, rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika, Barack Obama anamaliza muhula wake wa pili.
Lakini.....
Unajua kuwa kabla ya Obama ni wangapi "walimsafishia njia"?
Jiunge nami kwenye Reggae Time ya PRIDE FM iliyofanyika leo kuanzia saa 9 kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki ambapo mbali na muziki mzuri, tuliangalia zilipoanzia harakati za mtu mweusi kufika Ikulu.
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio.
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments:
Post a Comment