ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 6, 2016

Kikwete Aifagilia Serikali Ya Awamamu Ya 5

5 comments:

Anonymous said...

Na wewe ulifanya nini kwenye serikali yako mzee? Haya yote hukuyaona?

Anonymous said...

Hata mimi najiuliza swali hilo hilo....uchafu wote huu uliongezeka katika utawala wako. Wewe ndiye mtu wakwanza uliyetakiwa kuwekwa ndani bila kukuonea aibu. Mh wewe ulikuwa unatumia katiba hipi?

Anonymous said...

Unataka kutuaminisha kuwa anachofanya ni kutekeleza tu ilani uliyosimamia kuandika. Lakini wewe binafsi ilikushinda miaka kumi. Wacha Dr Pombe atukomboe. Pumzika

Anonymous said...

Yeye alikuwa mfano wa raisi tu.

Anonymous said...

Ningekuwa rais mstaafu nisingeisoma hiyo hotuba ni aibu tupu unajivua nguo mwenyewe mbele za watu.