Eric Filip Mzee
Kijana Eric Filipi Mzee mwenye umri wa miaka 16 ametoroshwa na watu wasiojulikana nyumbani kwa Walezi wake Mr & Mrs Noel Ngallo Mbezi Beach, eneo la samaki wabichi karibu na hospitali ya Massana. Kwa taarifa tunaomba sana yeyote atakayemuona awasiliane kwa simu namba 0719 308383, 0754 308383, 0715 284951, 0754 284951 au kituo cha chochote cha polisi hususan Kawe na Osyterbay.
No comments:
Post a Comment