ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 1, 2016

LADY IN RED 2016 YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM


Mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini amefanya onesho lake la mavazi uku wanamitindo chipukizi zaidi ya thelasini(30) wameshiriki katika onesho la Lady in Red ili kuweza kukuzavipaji vya wanamitindo wadogo na kuwapa hamasa ili kufanikiwa zaidi. Katika ni mwanamitindo Asya Idarous Khamisini akitambulisha kamati yake iliyofanikisha wanamitindo wote kufanya kazi bila tatizo lolote.Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog.

Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi katika onesho la vivazi la Lady in Red  lililofanywa na mwanamitingo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye ukumbi wa Danken House siku ya Jumapili January 31, 2016.
Mlimbwende akipita na kivazi mbele ya mashabiki wa mitindo.
Ni Lady in Red chini ya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini
Mlimbwende ndani ya kivazi chekundu



Mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini  akipita kwenye jukwaa kuwashukuru wale waote waliofanikisha oneshohilo kufanyika huku akisindikizwa na Miss Universe


Mwakilishi wa blog ya Vijimambo ambaye ni mmiliki wa Blog ya Pamoja, Geofrey Adroph akipikea cheti kwa niaba ya Vijimambo blog baada ya kutambulika mchano wa blog hii katika masuala mazima ya mitindo.
Baadhi ya wageni waliofika katika onesho la mitindo lililofanyika siku ya jumapili
Hizi picha za chini ni wanamitindo chipukizi wakionesha umahili wao katika mavazi ya aina zote

No comments: