Advertisements

Friday, February 5, 2016

MAALIM SEIF AZUMNGUMUZA NA VIONGOZI WA MAJIMBO WA CUF PEMBA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF katika viwanja vya Nngoma hazingwa Chake Kisiwani Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza na viongozi wa CUF katika viwanja vya Nngoma hazingwa Chake Kisiwani Pemba.
Baadhi ya Viongozi wa Wilaya na Majimbo kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad. 
Baadhi ya Viongozi wa Wilaya na Majimbo kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments: