ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 18, 2016

MADIWANI WAPITISHA MAPENDEKEZO YA KUBADILI MATUMIZI YA MIL.40 ZA VIBURUDISHO KUPELEKWA SEKONDARI ZA WASICHANA.

Baadhi ya wakuu wa idara wa halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini wakiwa katika mkutano wa kupitisha mapendekezo ya mwelekeo wa bajeti ya mwaka 2016/2017.
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Singida wakiwa katika mkutano wa kupitisha mapendekezo ya mwelekeo wa bajeti ya halmashauri hiyo ya Singida vijijini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Singida, Bwana Simon Mumbee akipitia taarifa zake anazotarajia kuwasilisha kwenye mkutano huo maalumu kwa ajili ya kupitisha mapendekezo ya mwelekeo wa bajeti ya 2016/2017.
Diwani Magreth Mangu (wa kwanza kutoka kulia) akibadilishana mawazo muda mfuppi baada aya kumalizika mkutano maalumu wa baraza la madiwani kupitissha mapendekezo ya mwelekeo wa bajeti ya Halmashauri hiyo ya mwaka 2016/2017.
(Picha zote Na, Jumbe Ismailly)

No comments: