ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 24, 2016

MAZISHI YA WAZIRI WA ELIMU WA ZAMANI, ISAELI ELINEWINGA

Marehemu ISAELI ELINEWINGA: 9.5.1931 - 9.2.2016


Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Baba Askofu Dkt Fredrick Shoo akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Isaeli Elinewinga wakati wa shughuli ya mazishi iliyofanyika kijiji cha Losaa, Masama Magharibi wilayani Hai.


Waziri Ndalichako akiwa amekaa jirani na mjane wa Marehemu Isaeli Elinewinga na kaka wa marehemu wakifuatilia uwekaji wa mwili wa marehemu katika kaburi.

Familia ya Marehemu Elinewinga 

Familia ya Marehemu Elinewinga 





Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe pamoja na mkewe Dkt Lilian Mtei wakiwa katika mazishi ya marehemu Elinewinga.


Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi ,Prof Joyce Ndalichako akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala wakiwa katika mazishi ya Marehemu Isalia Elinewinga.nyuma yao ni Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka.



Mkuu wa KKKT , Dkt Fredick Shoo akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Isaeli Elinewinga.







Mmoja wa wajukuu wa Marehemu, Isaeli Elinewinga akiwa ameshikilia picha kubwa ya mpendwa babu yake

Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Isaeli Elinewinga.

Askofu Mstaafu wa KKKT, dayosisi ya Kaskazini Erasto Kweka akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Elinewinga.

Mjane wa Marehemu, Isaeli Elinewinga akisaidiwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe.


Mtoto mkubwa wa marehemu Elinewinga, David Elinewinga akisaidiana na mkewe kuweka shada la maua katika kaburi la baba yao.

Mtoto wa marehemu Elinewinga, Adam Elinewinga akiwa na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi.

Wajukuu wa marehemu, Libby na Nathan, wakiweka shada la maua katika kaburi.


Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof Joyce Ndalichako akiweka shada la maua katika kaburi.
Makamau Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Philip Mangula akiweka shada la Maua katika kaburi.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makala akiweka shada la maua katika kaburi.
Mbunge wa jimbo la Hai, Freeman Mbowe akiwa na mkewe Dkt Lilian Mtei wakiweka shada la maua katika kaburi.

Mbunge wa Afrika Mashariki Ndelakindo Kessy akiweka shada la maua katika kaburi.

Mtoto wa kwanza wa marehemu Elinewinga, David Elinewinga


Mtoto wa marehemu Elinewinga, Edima Elinewinga (mwenye miwani) pamoja na wifi yake, Hawa Elinewinga





Watoto wa marehemu Elinewinga, Adam na Aika


Prof Ndalichako akizungumza jambo na mjane wa marehemu Elinewinga wakati wa mazishi
Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo akimuelezea marehemu Elinewinga wakati wa shughuli ya mazishi
Baadhi ya waombolezaji

Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Erasto Kweka akizungumza namna alivyomfhamu marehemu.

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema akiwa mmoja Freeman Mbowe


Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi akitoa salamu za serikali katika mazishi ya marehemu Elinewinga.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Philip Mangula akitoa salamu za Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akimuelezea marehemu namna alivyo mfahamu.


Mbunge wa jimbo la Hai, Freeman Mbowe akizungumza katika mazishi

Mtoto wa Marehemu, Elinewinga, Adam Elinewinga akisoma historia ya marehemu baba yake wakati wa mazishi hayo.
Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo akisalimiana na Waziri Ndelichako.

Mkuu wa KKKT, Dkt Fredrick Shoo akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makala


No comments: