Mbunge wa
Kawe, Halima Mdee akiwasili katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tuhuma za shambulio la mwili kwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia
Mbando. Mbunge huyo alinyimwa dhamana na kutupwa rumande. (Picha na Francis Dande)
Halima Mdee (katikati) akiwa na mbunge wa Bunda, Ester Bulaya (wa pili kushoto) pamoja na wafuasi wa Chadema wakati akielekea mahabusu.
Mbunge wa
Kawe, Halima Mdee akisindikizwa na Ofisa wa Polisi, nyumba yake aliyeshika faili kuelekea
mahabusu baada ya kunyimwa dhamana katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es
Salaam.
Mwanasheria wa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Prof. Abdallah Safari ambaye
pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam, baada ya mbunge huyo kunyimwa dhamana.
1 comment:
Some Chadema folks behaves like thugs..What an impressive opposition machinery!
Post a Comment