Saturday, March 5, 2016

Misa ya Kumbukumbu ya mzee wetu Lazaros Mwakyagi Mwasubila


Familia ya Bwana Galus Bohella na Bibi Trezia Mwakyoma-Bohella wanawakaribisha kujumuika nao katika Misa ya Kumbukumbu ya Baba mzazi wa Trezia (Teddy) Mzee Lazaros Mwakyagi Mwasubila
 aliyefariki tarehe 21 Januari, 2016 huko Mbeya, Tanzania.

Misa itafanyika

 Jumamosi March 5, 2016 kuanzia saa tisa mchana (3 pm)

 katika kanisa la
 Saint Stephen Lutheran Church
 New Hampshire Avenue 11612
Silver spring, MD 20904. 

Kwa habari zaidi, wasiliana na
Mr. Galus Bohella - (240)492-8840

KARIBUNI WOTE

No comments: