Advertisements

Wednesday, February 10, 2016

MSIBA MAREKANI NA TANZANIA – MZEE ELINEWINGA AFARIKI

Familia ya Isaeli Nyaka Elinewinga wa Losaa Hai, Kilimanjaro wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa Mzee Isaeli Nyaka Elinewinga kilichotokea katika hospitali ya KCMC Moshi, Kilimanjaro tarehe 9, February, 2016.


Mr. Isaeli Elinewinga: May 9, 1931 - February 9, 2016


Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 13, February, 2016, saa saba mchana, nyumbani kwa marehemu Masama Losaa Hai, Kilimanjaro.

Kwa wana DMV, mtoto wa marehemu, Edima Elinewinga Ndumbalo, amesafiri kuwahi mazishi na anatarajia kurudi tarehe 2/22/2016. Kwa taarifa zaidi, wasiliana na mume wa Edima, Frank Ndumbalo, simu 202-492-3154.

Marehemu ameacha mke, watoto watano (David, Aika, Edima, Adam na Helena) na wajukuu saba (Libby, Nathan, Joel, Bridget, Catherine, Noel and Joel Jr.)


Asanteni Sana.

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe, Amen.

2 comments:

Judith Mhuto said...

Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani Mzee wetu. Poleni sana Edima, Frank, na familia nzuma.

Anonymous said...

R.i.p