ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 17, 2016

MWILI WA MAREHEMU JOHN WALKER WAAGWA LEO KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina 'John Walker'  Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili. (Picha na Francis Dande)
 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina 'John Walker'  Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili.
  Baadhi ya waombelezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa msanii wa muziki wa kizazi kipya marehemu, Michael Dennis Mhina 'John Walker' kwa ya kuusafirisha kwa maziko mkoani Tanga, Dar es Salaam.
 Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Michael Dennis Mhina 'John Walker'.
 Wasanii wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa msanii wa Bongo Fleva marehemu John Walker.
Wengi waishindwa kujizuia wakati wa kutoa heshima za mwisho.
Heshima za mwisho.

1 comment:

Anonymous said...

Asante. kwa mtizamo wa picha na maelezo yaliyoandikwa ni vitu viwili tofauti na sijui kama waandishi mnakuwa na mapitio kabla ya kupost kitu! Hapa maelezo yanasema Mbunge wa Jimbo la Mneya mjini Mh. Joseph Mbilinyi akibeba jeneza!! Je hapo kwenye picha kuna watu wangapi wanabeba jeneza? Au mada ilikuw kumuandika Joseph Mbilinyi kwa kuwa ni Mbunge? Kwa kuangalia kabisa kwanza yeye mwenyewe habebi kitu ameshilikia tu!!
Bora ingeliandikwa wabebaji wakibeba jeneza la ... akiwemo mbunge ...Nadhani ingelileta ubora wa lugha..