RAIS WA GUINEA BISSAU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA TANZANIA.
1 comment:
Anonymous
said...
katika hiyo taarifa mwisho kabisa kuna taarifa ya Mueshimiwa raisi mstaafu Mkapa kwenda Ikulu kukutana na Raisi Magufuli , safi sana kutembelea ikulu lakini kidogo sijapaelewa hapo ! kila akienda Mueshimiwa Kikwete ikulu hazipiti siku Mkapa nae lazima aende ! kama wanaenda kikazi au Ushauri sawa lakini kama mnaenda kwakupigana vijembe tunaomba mtulie sio muda wa kampeni !

Post a Comment