ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 28, 2016

SHEREHE YA RED CARPET DAY SEATTLE WA.

JUMUIYA YA WATANZANIA SEATTLE WA INAWAKARIBISHA WOTE KATIKA SHEREHE YETU YA RED CARPET DAY ITAKAYOFANYIKA 12TH MARCH 2016 RAMADA INN HOTEL(30% DISCOUNT TAJA UNAKUJA KWA AJILI HII 1WEEK IN ADVANCE)PIA BI,,MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSIN ATAKUEPO KUONYESHA MAVAZI YAKE MURUA...KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NA WAFUATAWO:
NDG.E.MUTA(CHAIRMAN)206 291 8835
NDG.A.DOLA(PUBLIC RELATIONS/MAYOR WA SEATTLE)206 422 3050
NDG.J.MKUDE(MWEKA HAZINA)206 499 7054
NDG.H.RAJAB(KATIBI MKUU)206 302 9404
WOTE MNAKARIBISHWA SANA....
             
                                                     
                                                                              

No comments: