Hii ni Stream /Hot Water Machine iliyotengenezwa na T.E.S unaweza kutumia kupikia wali wa maji au wali pilau, mboga na chakula chochote kile ambacho kinatakiwa kuivishwa hili kiwe tayari kwa kuliwa. Hapa Dr. Temba akitoa maelekezo kwa mteja ya jinsi itakavyo fanya kazi baada ya kazi kukamilika .
Ukitaka kutengenezewa kwa ajili ya hotelini au restaurant. Wasiliana kupitia email hizi. Temba66@gmail.com or ibraradyn@gmail.com or Temba@tembausa.com
1 comment:
I commend TES for this innovation far away in the Diaspora!! You did us proud. Watanzania tumeshaamka tunajua umuhimu wa chakula kilichoandaliwa kwa njia inayolinda afya. Naamini pia gharama za kupika zitakuwa nafuu? Tuantazamia ifike huku nyumbani mapema, Inshallah Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza. Kila la kheri
Post a Comment