Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea Song,Geum Young alipomtembelea Muheshimiwa Waziri Ofisini kwake mtaa Luthuli
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akiongea na Balozi wa Korea Nchini Bwana Song Geun Young alimpomtembelea Waziri huyo Ofisini kwake leo, Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Richard Muyungi.
1 comment:
Makamba azungumza na balozi wa Korea Kusini. Nini walichozungumzia ?
Post a Comment