ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 28, 2016

ALICHO ANDIKA MH. ZITTO KABWE BAADA YA KUPITA KWENYE DARAJA LA KIGAMBONI

Naona Kigamboni ikibadilika kabisa. Inapaswa kuweka mipango Miji bora kuendana na uwekezaji huu wa Daraja. Haya ndio Maendeleo. Vitu vinaonekana badala ya porojo tu. 


Barabara zinazotoka na kwenda darajani ziboreshwe sasa. Vinginevyo itakuwa white elephant

No comments: