Baba kagundua kijana wake anajihusisha na Ushoga, kamkuta na Mwanaume, huu ndio uamuzi aliouchukua. Kijana mwenye umri wa miaka 21 raia wa Marekani aitwae Anthony Gooden, ameunguzwa vibaya na Baba yake wa kambo kwa Maji ya moto baada ya kumkuta na mwanaume nyumbani. Taarifa zinasema kuwa kijana huyo ambaye anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja(Ushoga), alionywa na Baba yake huyo wa Kambo Martin Blackwell kuacha kuleta wanaume katika nyumba wanayoishi. Ubuyu unaendelea kueleza kuwa siku ya tukio, Martin alimfuma kijana wake Chumbani wakifanya ‘uchafu’ huo usiokubalika na jamii na ndipo alipochukua uamuzi wa kumwadhibu kwa kumwagia maji ya moto ambayo yamemuunguza vibaya mgongoni. Baba huyo anashikiliwa na Polisi huku taratibu za kumfikisha Mahakani zikifuatwa.
Mother of Gay Man Burned in Boiling Water Attack Speaks Out: WATCH
Ukitaka kujua kisa na mkasa wa habari hii jitiririshe hapa chini kuona na video ya kile kichotokea kwenye source.. ::http://www.towleroad.com/2016/03/anthony-gooden/
2 comments:
Abusive men. Huyo baba wa kambo ni apewe tu lethal injection. Jamii za kimarekani zinakubali gays. Huo ubaguzi ni ubaguzi binafsi, sio jamii. Sasa ameunguza mama na mtoto ili iweje. Ngoja akae huko jela na yeye apate boyfriend.
Sad in deed .kila mtu Ana Haki ya kumpenda mtu .kwani huyo baba ake wa kambo ni mungu
Post a Comment