ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 16, 2016

BREAKING NEWS: BALOZI MWAPACHU ARUDI CCM JIONI HII

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu akipokea Kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mikocheni,Jijini Dar es salaam jioni hii, baada ya kutangaza kurejea kwenye Chama chake hicho cha awali alichokihama mwishoni mwa mwaka jana.


habari kamili itawajia muda si mrefu

3 comments:

Anonymous said...

Too late... Kesha tuhakikishia ya kuwa yeye ni bla bla kwani hajitambui !! Upepo ukienda kulia na yeye yum ooh, kushoto na yeye yumoooo!!!! Mmmmm haya namtakia kila la Kheri...

Anonymous said...

Na bado mtarudi mmoja moja baada ya mwingine bado na huyo mamvii atarudi tu , na msifikiri mkirudi tena ccm hamtatumbuliwa! Mafisadi wakubwa msiokuwa na uzalendo hata chembe!

Anonymous said...

No respect to dis loyal people .judah