Edward Lowassa leo ameamua kumuelezea ukweli rais Magufuli kuwa ni miongoni mwa marais wa Afrika wasio na maono. Lowassa pia amesema kuwa Tanzania chini ya Magufuli itakosa kabisa ubunifu.
Hayo yanajiri baada ya rais John Magufuli kuzuia mambo mengi kwa lengo la kubana matumizi. Huku wataalam mbalimbali wakikwama kuwekeza kwenye taaluma baada ya kuzuiwa kupata mafunzo mbalimbali nje na ndani ya nchi.
Aidha rais Magufuli amekuwa akitoa hotuba kwa hisia kali hali inayowafanya wasaidizi wake kuingiwa na woga kwenye uthubutu.
"Magufuli ewafanya wasaidizi wake kukosa kabisa ubunifu na uthubutu wa kufanya maamuzi. Tanzania chini yake haitakuwa na jipya" amesema Lowassa.
Aidha Lowassa amesema kuwa sera ya elimu bure kwa Magufuli imekuwa "zero" baada ya kuiga.
17 comments:
Wewe FISADI Mkuu Huna jipya, wee kachunge ng'ombe wako umasaini. Kwa I alikwambia anabana watumishi kwenda nje ya nchi forever? Muacheni kabisa Rais wetu airekebishe nchi mliyokuwa mmeifanya kama haina mwenyewe mlikuwa mnaiendesha kama mnavyotaka na wewe na rafiki y'all Rostam mlifikiri watanzania wote mnaweza kuwanunua!!
This from Hon Lowassa represents a supreme illustration of insincerity on the part of some politicians. For heavens sake, Tanzanians want results; concrete and demonstrable actions, which Mr. Magufuli has delivered ably. Our people are fed with so called "visionary" leaders of Hon. Lowassa's kind who have promised heaven and only enriched themselves and their friends.
That Lowassa sees nothing from Mr Magufuli's effort is to say the least ludicrous from a politician perceived as corrupt and power hungry. Thank God for Magufuli.
Kwanza alikuwa kiongozi. Mpka akawa waziri mkuu nini walichokifanya kipya na mwenzake zaidi ya ufisadi uliokubuhu. Tanzania muda ule uliopita ilitakiwa iwe imepiga hatua haswa kama nchi zingine Afrika. Au jilani hata miundombinu inaonekana lakini wapi wajinga hawa wakazidi ikandamiza. Pamoja na ugunduzi mwingi wa mali asilia. Wao wakaona cha maana zaidi ni kutunisha tunisha mifuko yao ndio maendeleo lol tunatia aibu na wanatia aibu kwa Taifa karne hii 21 nchi nyingi hasa Za Afrika zimegundua au kama siku weka wazi raslimali asilia na zimepiga japo atua.
Bwana huyu vip. Watanzania walio wengi wameamka wamechoka kufwajwa watwana. Walisha zoea wizi na ufisadi. Sasa ndio mwisho wao. Aende akachunge ngombe hukooo loo kwa huyu hamna jipyaaa ni muchosho ile ile tu. Mumuache Magufuri. Subiruni Tanzania mpya ileee inayopakaa kila nyanja. Kiuchumi kisiasa kiutamaduni. Ule uchumi wa shamba la bibi. Au siasa za uongo uongo na ubunwasi na utamaduni wa kuiba kuiba na ufisadi na kuliacha Taifa hovyo na kudhalaulika sio wakati wake sasa. Huu sio wakati ulipita ni wakati wa sasa na panapo majaliwa usubiri uone wakati unaokuja. Tanzania mpya isio dhalaulika dresser kwendaaa zako kachunge ngombe
Hapa Lowasa anamaanisha yakwamba muheshimiwa raisi Magufuli kwa kutoruhusu wizi serikalini ni kukosa maono. Tanzania chini ya uongozi wa Magufuli kila mpenda maendeleo duniani anaipenda na ni mwanga unaoanza kuchomoza katika giza nene lililoigubika Africa kwa miaka kwenye safu ya uongozi m'bovu. Lowasa ni mpiga dili mzuri yaani ni miongini mwa watanzania kadhaa waliotajirika kwa kuibia serikali kutokana nafasi zao za uongozi. Kwa hivyo kutokana na mikakati ya Magufuli kukaba hadi vivuli vya ufisadi katika serikali yake watu kama akina Lowasa waliozowea kujitarisha kwa njia ya ufisadi lazima wamchukie Magufuli. Lowasa ni kiongozi aliefeli ni vyema akatumia muda huu kutubu na kuwaomba radhi watanzania badala ya kuropokwa hovyo.vile vile kwa kuchangia kwake katika kuwapelekea watanzania kuishi katika hali ya umasikini uliokisiri wakati yeye akishikilia record ya kuwa waziri mkuu tajiri kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania na ukiangalia utajiri wote huo kaupata kwa kupiga madili serikalini kwa kushirikiana na viongozi wengine wenzake wasio waaminifu wala uzalendo. Katika historia ya China wakati wanatafuta njia ya kutokea kutoka katika dimbwi la umasikini moja ya njia walioitumia ni kuagiza wataalam wa kirusi wa kutosha kwa millions katika fani mbali mbali za kimuundo mbinu kwenda kuweka kambi ndani ya China. Kwa hivyo badala ya kutumia mamilions kumsomesha mtu mmoja nje ya nchi wakati mtaalam mmoja wa ukweli anapokuja nchini anauwezo wa kuwanufaisha wataalam wenyeji wengi zaidi pengine kwa gharama nafuu zaidi ya mtaalam mmoja aliepelekwa nje ya nchi pengine hata huyo mtaalam wenyewe aliepelekwa nje asirudi nchini. Magufuli anakazi nyingi za kufanya moja wapo ni kuwafunza watanzania kuwa wazalendo wa kweli na nchi yao kama watu wanakuwa hawana uzalendo na nchi yao huko nje wakaende kufanya nini zaidi yakuwa wasaliti? Hata hivyo huyo Lowasa kama angelikuwa China kwa cheo alichokwisha fikia na kashfa iliompata ya ufisadi angelikwisha sahaulika zamani sana. Wachina walilazimika kuweka sheria ya kifo kwa kosa la ufisadi baada ya nchi yao kufikia pabaya katika vitendo vya ufisadi na kwa kiasi fulani ni moja ya sheria iliosaidia kuipaisha China katika maendeleo kwa viongozi wake kuwa na nidhamu ya hali ya juu katika maadili. Sasa leo magufuli ndio kwanza anaweka sawa safu yake ya uongozi watu wanahoji safari za nje jamani? Inaonekana hizo dili za nje zinawatesa watu wengi sana.
Nani anaruhusu habari za huyu baba? Akapumzike huko hana sera. Asipoteze maboya zamu yake kutumbuliwa inakuja
DUUH AMA KWELI AKILI NI NYWELE MAMVI POLE HATA AIBU HUNA WEE NILIKUPENDA LAKII BAADA YA CCM KUNUSURIKA KUPOTEA KWA AJILI YAKO HUYO UNAE MPONDA WEWE NDIO UME MPA CHART KAMA SIO WEWE ASINGE KUA RAIS NA PAMOJA NA YOTE KAKUSTIRI AIBU YAKO KWA HASIMU WAKO MLIE FUNGIWA NAE KUANZA KAMPEINI MAPEMA YEYE KAKOSA NAWE UMEKOSA SHUKURU MUNGU MWACHE MAGU ACHAPE KAZI AMBAYO HAMNA YEYOTE ANGEIWEZA
Kwanza mtu mwenyewe amesha choka, na mawazoni mwake anawaza madili ya ufisadi tu, kwendaaaa kule aende zake akajambe mbeleee
wewe ndio hauna maono kwa maana wewe ni kiongozi mmjawapo usiojua nini? maana ya uongozi na wala utambui wajibu wako, unawaza kuspend kutwa kwenda kutalii nchi za watu, na wizi na ufisadi na rushwa. daaa!!! huyu baba angeingia madarakani tungeisha kabisa kama si kuishiwa. maanake tunnge kuwa hoi bin taabani kwa kila nyanja, Mungu mkubwa jaamani
Ama kweli huyu Mzee Lowassa amepata ule ugonjwa wa Alzheimer. Kweli amesahau kabisa yeye na kundi lake walivyo imagine nchi hii na kujinufaisha wao badala ya wananchi. Magufuli ametangaza mali zake na amesema akitoka pia atatangaza Mali zake. Kuna maono gani zaidi ya hayo? Lowassa mali zake alizipataje? Asitudanganye. Kheri akatafute dawa za ugonjwa wake.
Kweli babu kafilisika kimawazo
Fikirieni kwa mapana kabla ya kushutumu maoni ya EL. Ni kweli Raisi Magufuli kajikita katika ukusanyaji wa kodi na kusimamia utumiaji mbovu wa fedha za serikali....lakini hazma yake haijitoshelezi kwa hilo tuu. Ukizingatia kuwa viwango vya kodi zinazotozwa na serikali ni vikubwa sana na ndio maana wafanyabiashara wanajikita katika kukwepa kodi ili waweze kuendesha biashara zao. Bila ya kushusha kodi wafanyabiashara watakalia fedha zao na kutatokea mfumuko wa bei na kusababisha ugumu Zaidi kwa maisha ya watanzania wa kawaida. Wafanyabiashara watanunua treasury bond zinazolipa over 10% kwa mwaka wakati wanamsikilizia...hapo jiulizeni Raisi Magufuli atafanya nini?
Sasa na wewe anonymous wa saa 3:19 Pm March 15 unataka kutueleza nini!! Huyo mamvi alikuhonga nini Wakati wa kampeni zake za Urais!!? Maana alikuwa anamwaga pesa Kama Hana akili vizuri, sijui ndio hiyo Dimentia ilikuwa imeshamuanza! Maanake mpaka aliamua kumnunua Mbowe na Chama chake ��������‼️
We know where you are coming from, narcissist.
Wote kasoro anon wa 03/15/16 3:19 pm mliotoa maoni hapa mpo kiushabiki zaidi .na inawezekana ni wale lumuba fc buku 7 daily.vijana wa marope
Lowasa has a point.
Yes, Lowassa has a point!!! And the point is, he has lost his mind. So have you.
Lowasa has a point that is real right, lakini ya hovyo.
Post a Comment