Luke Joe wa Maryland
Wadau wa Vijimamboblog wanakutakia kheri ya siku yako ya kuzaliwa, Mwenyezi mungu akupe maisha marefu yenye afya njema hili wadau wa blog yako waendelee kupata mambo muhimu yanayo jiri siku hadi siku kwenye community za Watanzania na duniani kote. |
9 comments:
Naam,
Nami naongeza kauli hapa kusema Mwenyezi Mungu akuzidishie neema, Baraka na kila lililo la kheri!
Happy Returns
Tunanufaika na Blog hii Daily.
Happy Birthday Lucas. Kutoka kwa Dada Joyce Mwombela.
HAPPY BIRTHDAY KAMANDA. Toka kwa kijana wako Dj Seif.
Baba yetu mpendwa, tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Mwenyezi MUNGU akujalie haja ya MOYO wako. Tunakupenda sana.
Luke,
Enjoy your special day and may God bless you with so many more years to come and a great life to live ahead. Happy Birthday, Luke!
Happy Birthday Luke
Happy belated Birthday Sir. Nikiwa fani mkubwa wa blogu yako, nakutakia kila la heri katika kusherehekea hii siku muhimu maishani. Enjoy!
Happy birthday mkuu all the best ..... keep it up.
Hongera na Mungu akubariki kwa kutupatia ukumbi huu. Long Live.
Post a Comment