ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 12, 2016

HARAMBEE YA KUMCHANGIA MARIAM HUSSEIN (DMV)


Ndugu Zetu tunawataarifu kutakuwa na Harambee ya Kumchangia Dada Yetu Mariam Hussein (Mama Sameera) anayepambana na ugonjwa wa Saratani ya Tumbo, Gastro Intestinal Stromal Tumor. 

Mariam alianza kuugua November 2015, ameanza kula dawa na atahitajika kufanyiwa upasuaji  hivi karibuni, akishafanyiwa upasuaji anakuwa hana kazi kwa kipindi. Hivyo michango yetu itamsaidia kupambana na matibabu ya Saratani na baadhi ya huduma za kujikimu baada ya upasuaji. 

Harambee itakuwa Jumamosi, March 12, 2016

Kuanzia Saa Kumi na Mbili Jioni (6PM-10PM)

Indian Spring Terrace Local Park

Anuani:

9717 Lawndale Dr.

Silver Spring, MD  20901

Tunaomba tujumuike pamoja, Ukipata taarifa mjulishe mwenzio.

Kwa watakaoshindwa kuhudhuria wanaweza kuendelea kuchangia GoFundMe:

GoFundMe account 

Shukran kwa Wote Walio changia GoFundMe mpaka Hapa Tulipofika.

Ukiwa na Vitu vya kuuza kwenye mnada au kwa taarifa zaidi wasiliana na:-

Asha Hariz 703-624-2409

Juster Mutakyawa 301-404-6529

Asha Nyanganyi 301-793-2833

Tumaini Kaisi-Katule 301-433-3411

Uwezo Tandau 240-476-0094

Tunatanguliza Shukran za Dhati.

No comments: