Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UB.O Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa.
 |
Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UB.O Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa katikat ni promota Kaike Siraju.
|
 |
| abdalla pazzi na mada maugo |
Rojas Massam kushoto akitunishiana misuli na Mwinyi aMzengela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa march 27 uwanja wa ndani wa taifa.
 |
| Rojas Massam kushoto akitunishiana misuli na Mwinyi aMzengela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa march 27 uwanja wa ndani wa taifa. |
 |
| SEBA TEMA KUSHOTO NA PIUS KAZAULA |
Mabondia Seba Temba kushoto akitunishiana mkisuli na Pius Kazaula baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpasmbano wao kesho march 27 uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS
No comments:
Post a Comment