ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 26, 2016

RAIS WA ZANZIBAR AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar, (Picha na Ikulu.)
Picha ya pamoja.

No comments: