Thursday, March 3, 2016

TANGAZO LA MSIBA NA MISA DMV NA TANZANIA


Tunasikitika kuwatangazia kwamba .Ndugu yetu Jacob Merere amefiwa na dada yake kule Tanzania. Msiba upo nyumbani kwake Green Belt address

8505A GreenBelt Road Apt T2
Green Belt MD 20770.

Leo 3/3/16 itafanyika ibada fupi ya kumwombea Marehemu na kumwombea Jacob atakaye safiri kesho Ijumaa asubuhi kuelekea Tanzania kwa Mazishi.

Bwana alitoa na sasa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen.

kwa mawasiliano zaidi 301 281 7544 OR 301 379 7618 


Unaweza kutuma rambirambi kupitia Bank Of America
Jina Irene Lusenaka
BOA a/c 001924881731
Phone # 301-281-7544

Asanteni Sana na karibuni wote tushiriki kumfariji ndugu yetu Jacob


No comments: