ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 21, 2016

TASWIRA YA HARUSI YA FADHILI MALIMA NA BI MOZA ILIYOFANYIKA BOSTON. MA WEEKEND YA TAR 19

Fadhili Malima akipata ukodak na mke wake Bi Moza siku ya harusi ya wawili hao iliyofanyika Boston. MA na kufana vilivyo kwa kuhudhuliwa na marafiki kutoka sehemu mbali mbali hapa Marekan.

 Fadhili Malima wa Boston. MA akiwa kwenye pozi na mke wake pamoja na familia yake siku ya harusi ya wana ndoa hawa iliyofanyika huko Boston siku ya jumamosi ya tarehe 19.  Na kuhudhuliwa na ndugu pamoja na marafiki kutoka sehemu mbalimbali za Marekani. Sherehe ilikuwa mzuri na watu waliburudika kwa chakula na music uliokuwa unangurumishwa kutoka kwa Madj maarufu DJ Bilal kutoka New York na Dj Masoud kutoka Massachusetts.


Bibi harusi Bi Moza akimlisha mume kipande cha keki kuonyesha ishara ya upendo.

 Bwana harusi na bibi harusi wakishare busu baaada ya kulishana kaki ukumbini hapo
 Bwana harusi Fadhili Malima akionyesha bashasha ya kutaka kushare busu na mke wake. Kwa taswira zaidi ya jinsi mambo yalivyokuwa ukumbuni hapo jitiririshe kwa kubonyesha soma zaidi.




No comments: