ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 31, 2016

UPATIKANAJI WA MAJI MBEYA NI KITENDAWILI

 Mwanafunzi wa Darasa la Pili Shule ya Msingi Izumbwe Kata ya Igale Wilaya ya Mbeya Atu Aden (11) akichota maji ya mvua yaliyotuhama kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama alivyokutwa hivi karibuni. (Picha na Kenneth Ngelesi)
  Mwanafunzi wa Darasa la Pili Shule ya Msingi, Izumbwe Kata ya Igale Wilaya ya Mbeya,Viviani Philipo (8) akichota maji ya mvua  yaliyotuhama barabarani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani muda wa masomo kama alivyokutwa hivi karibuni.

2 comments:

Anonymous said...

Mbali na shida ya maji.Inasikitisha kuona kuwa ni vitoto vya kishichana vinavyochota maji. Tutabadilika lini>

Anonymous said...

Big Changes zinatakiwa Tanzania, na bado watu wanataka kumbania magufuli mambo yasiende mbele, mpaka leo hi wasichana wadogo kama hawa baada ya kua shule wananenda kuchota maji mitaroni, ni aibu..