Friday, March 4, 2016

WAZIRI JANUARY MAKAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA DFID TANZANIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akizungumza na Mwakilishi wa DFID -Tanzania Bwana Vel Gnanendran aliyemtembelea Ofisini kwake leo mtaa wa Luthuli. Ujumbe huo wa DFID umekuja kuwasilisha program ya mazingira na mabadiliko ya tabia Nchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa pamoja na ujumbe wa DFID Tanzania uliofika Ofisini kwake kumtembelea na pia kuwasilisha program ya mazingira na mabadiliko ya tabia Nchi.

1 comment:

Anonymous said...

huyu jamaa wizara yake imejifisha kiasi kwamba hatakiwi kuwa anaonekana kwenye vyomba vya habari, nadhani alipewa hiyo wizara ya muungano makusudi na magu ili aweze kuwa mkuu wa tehama na kutokuonekana tena, sababu jamaa ana ndoto za urais inabidi ajiuze hata ambapo hauziki mradi tusimsahau, nadhani magu akichaguliwa tena 2020 hatakuwepo hata kwenye baraza lake.