Wananchi wa Kalebezo wilayani Chato wakionyesha mabango wakati Waziri Mkuu, KassimMajaliwa alipopita kijijini kwao akitoka Ngara kuelekea Chato mkoani Geita
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Jafari baada ya kuwahutubia wananchi wa kata ya Kasulo wilayani Ngara Machi 16, 2016. Alikuwa katika siku ya mwisho ya zira ya mkoa wa Kagera.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba baada ya kuwasili kwenye Ofisi yaMkurugenzi wa Wilaya yaChato kuanza ziara ya Mkoa wa geita. Picha na PMO
No comments:
Post a Comment