Mmiliki wa kliniki ya ‘Madawa Herbal Clinic’ ya Bububu Kijichi Muh’d Said Ali akitoa maelezo kuhusu huduma anazotoa katika kliniki yake baada ya wajumbe kutoka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kufika katika kliniki yake kufuatilia shutma za kulaza wagonjwa kitu ambacho kinakatazwa, wa mwanzo (kulia) Mrajis wa Tiba asili Zanzibar Haji Juma Kundi.
No comments:
Post a Comment