Sherehe ya kufikisha miaka mitano ya mtoto Fortuney Isingo yafana.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sleep Inn & Suites siku ya jumamosi tarehe 16 mwezi wa huu wa nne.
Fortuney akiwa na wazazi wake Bwana Faraja Isingo na Bi Faith Isingo
Watoto waalikwa wakipata picha ya pamoja na Fortuney
mshehereshaji Bi Tuma akinena jambo na watoto waalikwa.
No comments:
Post a Comment