Familia ya Ndugu Zetu Adam Tenga na Aziza Mitchum wanapenda kuwakaribisha kwenye Kisomo cha Hitima ya Marehemu Mama Yao Mpendwa Bi Nuru Omar Zimbwe aliyefariki March 27, 2016 California na kuzikwa nyumbani Tanzania.
Kisomo ni Siku ya Jumamosi Hii, April 30, 2016
Capitol View-Homewood Park
2929 Edgewood Road
Kensington, MD 20895
Kensington, MD 20895
Saa Kumi na Mbili jioni hadi Saa Tatu usiku
(6PM – 9PM)
Kama Ilivyo ada yetu, tunawaombwa tujumuike nao kwa Pamoja.
Ukipata Taarifa hii Mjulishe Mwenzio.
Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na
Adam Tenga 240-491-1770
Iddy Sandaly 301-613-5165
Ally Mikidadi 201-628-2133
Asha Hariz 703- 624-2409
Asha Hariz 703- 624-2409
Dj. Luke Joe 301-661-6696
Abdallah Makeo 301-318-3419
Saada Ali 248-567-9375
Halima Chunda 617-953-5375
Rosemary Tenga 240-476-7108
Jasmine Rubama 410-371-9966
Nuru Mwamende 240-603-9364
Tunatanguliza Shukrani za dhati.
INNA LILAH, WA INNA ILLAYHI RAJIOUN
Hakika Sisi ni wa Allah, na Kwake Tutarejea.
No comments:
Post a Comment