Monday, April 25, 2016

MAMA ANATATUFUTWA NA WANAE

Vicky Chungu aka Vicky Mtwenge. Tunapata taarifa kuwa amewahi ishi Lushoto,Korogwe nk mkoa wa Tanga. Alitoweka 2003 mpaka leo.

Watoto wake Yussufu, Farida, Shabani, Glory wanakulilia saaana mama yao.
Yusuf Mtwenge +255 766 493 301

No comments: