No sheria zimeundwa na wanadamu na rais anaweza kuwa na maamuzi pia.Mbona mambo mengine mengi sana hamkuweza kufanya toka enzi hizo.wakati huu tunaangalia zaidi mazuri anayofanya JPM. Wengine japo tunaelewa umuhimu wa sheria we could care less mtu mmoja kuendesha nchi ilimradi tunaiona tofauti.Hii ni blahblah tuu. Haijalishi nani atumbue jibu ili mradi linatumbuliwa.Muda wote bunge ilishindwa kutumbua why is it an issue JPM kutumbua leo.
People want results not talking heads. Magufuli has demonstrated leadership that delivers results. Amazing Kabwe and his friends who oversaw a system that were always on the road pandering to their own interests now suddenly are the custodians of the constitution and its laws! How sad and what a pity. Crocodile tears. Where were they all these past days? They were unaccountable and utterly irresponsible as a parliament.They should b supporting Magufuli not undermining him. Politicians are amazing. I thought Kabwe was better than this?
Huyu jamaa katumwa na Wamarekani ama vipi? Kwa vile kutoka Marekani tu ndio maana sasa bajeti yetu ni dola tu? Kijijini kwake wangapi wanafahamu hiyo dola?
Serikali ipi duniani haikopi? Hakuna. Swali ni mikakati ya kulipa na kupunguza deni? Aidha mbona haongeleai mizigo ya bandari iliyokuwa hailipiwi kodi? Mbona hapo Hana jawabu? Zito naye yale yale tu. Kulaumu bila kuwa na majibu.mwanasiasa Bwana!
Mwacheni Magufuli afanye kazi hata angekuwa peke yake ili mradi Bara Bara zinajengwa na corruption inapigwa vita. Hiyo ndiyo mikakati ya kuonyesha kwamba hata kama mapato bandarini yanapungua ukwepaji kodi ukipungua kwa mizigo michache na halali tutafidia mizigo mingi iliyokuwa hailipiwi kodi ama kulipiwa kodi pungufu. Hii sio sayansi ya nuklia. Hapa Kabwe kalamba mavi. Mwache Magufuli. Acha politics as usual.
Leo Gazeti la Mwananchi linaripoti taarifa ya Uchambuzi kwa wananchi mbali mbali na ujumbe kwa Rais Magufuli ni wazi kabisa: "Rais kaza buti, usirudi nyuma.". Zitto yupo wapi? Ongeza na wananchi!
Hizo siasa za blah blah ndizo zilizoifikisha Tanzania hapa ilipo. Na kwa ufasaha kabisa ndipo mwanamme wa shoka Magufuli alipokuja na sera ya hapa kazi tu kwa kasi ya ajabu. Ilijulikana kabla hata Zito na wengi wengineo yakwamba watatokezea wengi watajakaojaribu kumrejesha nyuma magufuli katika jitihada zake za kuikomboa Tanzania katika dimbwi na janga la uzembe wa kutokomea katika umasikini unaosababishwa na wabadhirifu wachache na hata kuwaamanisha watanzania wengi yakuwa ubadhirifu na ufisadi ni njia sahihi ya maisha. Leo kaja mtu anaesema enough is enough wanasiasa kama kawaida wanaleta siasa. Ikumbukwe yakwamba magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji si ajabu kuona wanasiasa wakimshangaa kutokana na kasi yake.Anachokifanya Magufuli kinaonekana wazi na kila mtu sasa tujiulize kama kweli inatija kumzuia Magufuli kutekekeza anayoyafanya ili tuwafuraishe akina zito? Au kuwaachia watumishi wengine wa serikali ambao uwezo wao wa utendaji bila ya nguvu ya raisi ni wa kiwango cha chini na hapa tujiulize tena tunataka sifa ya kuona watu fulani wanamadaraka au kuona nchi ikipiga hatua katika maendeleo?
JPM kaza kamba. Walikuwa wapi siku zote? We could care less sijui sheria. Mbona halijawahi kufanyika la maana kabla? We would rather have someone doing bila kufuata sheria kuliko waliofuata sheria ambao hawakufanya kitu.
Aliwahi kutoa ultimatum kwa Kikwete awataje walioficha mapesa yao ughaibuni; kwamba angewataja yeye binafsi mwezi wa Oktoba 2014?). Mbona mpaka sasa hajawataja?
10 comments:
Huyu haipendi Tanzania

Unafiki wa kisiasa tu. Political hypocricy
People want results not talking heads. Magufuli has demonstrated leadership that delivers results. Amazing Kabwe and his friends who oversaw a system that were always on the road pandering to their own interests now suddenly are the custodians of the constitution and its laws! How sad and what a pity. Crocodile tears. Where were they all these past days? They were unaccountable and utterly irresponsible as a parliament.They should b supporting Magufuli not undermining him. Politicians are amazing. I thought Kabwe was better than this?
Long live Magufuli!

Post a Comment