ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 3, 2016

MAYOR WA SEATTLE ATEMBELEA KABURI LA BRUCE LEE NA MWANAE BRANDON


Amin Dola aka Mayor wa Seattle akiwa kwenye makaburi walikozikwa mcheza karati Bruce Lee na mwanae Brandon Bruce Lee, makabri yaliyopo Seattle jimbo la Washington.

1 comment:

Anonymous said...

Mkuu ukitoka hapo tafadhali sana nakuomba tena chonde chonde ufanye ziara kwenye kaburi la mjomba Daudi Balali, Nakutakia kila la kheri na afya tele uweze kufika salama na kupiga picha kama hivi.(Mpwa naomba ujumbe ufike yaani kwa kuurusha hapa hapa)
Asante