ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 19, 2016

Misa takatifu ya kumkumbuka marehemu Edgar T. Ngowi


Misa takatifu ya kumkumbuka kaka mpendwa wa Geraldine ndugu Edgar Ngowi aliyefariki Dunia ghafla tarehe ya 24 March 2016 huko nyumbani Kwao Moshi, Kilimanjaro.
Misa imefanyika jumapili tarehe 17 April 2016 saa saba na nusu mchana (1.30pm) katika kanisa la
St. Edward Catholic Church mjini Baltimore.
katika picha ni bwana Duncan Kuffar akisoma somo la kwanza katika misa hiyo.
Ms.Grace Mlingi mpwa wa marehemu akisoma somo la pili wakati misa takatifu ikiendelea.
Father Honest Munishi akitoa mahubiri katika misa takatifu ya kumwombea marehemu Edgar Ngowi
baadhi ya ndugu wa marehemu wakipeleka matoleo katika misa hiyo.
familia ya Bi Gelradine Ngowi wakipewa mkono wa rambirambi mwishoni mwa ibada hiyo takatifu.
mwakilishi wa familia ndugu Richard Mawenya akitoa shukurani na kusoma wosia wa marehemu.
mchungaji Mbatta akiombea chakula baada ya misa hiyo takatifu

No comments: