Munthiri Bilal akiwa uwanjani na timu yake ya chuo hapa akionyesha uwezo wake baada ya kuwa majeruhi na kukaa nje ya uwanja kwa miezi 3 na sasa karudi uwanja na timu yake ya Tiffin University huko Ohio. Munthir anacheza LW/CF/RW.
sasa wapo kwenye Pre-season Mwaka jana alicheza mechezo 12 kabla ya kupata majeruhi na alifunga ( goal 3 / assist 1)kabla ya kupata groin injury. iliyomweka nje ya uwanja kwa miezi 3. Na sasa amesharudi uwanjani na amecheza michezo 3 kwenye hii pre-season. Season yao kawaida inaanza fall.) na anachezea timu Kosmos FC (U17, U18, U19). Kabla ya kujiunga na chuo na kuchezea imu ya Kosmos alianza kuchezea timu ya Richmond Hill High school senior year na akiwa na timu hiyo alishinda( MVP ) baada ya kuifungia magoli. (21 na assists 2) katika michezo 14 . Huyo ndiyo Munthir Bilal ni hazina ya baadae kwa timu ya taifa ta Tanzania. Munthir wazazi wake wapo Brooklyn, New York. Hapa chini jitiririshe kwa picha zake akiwa uwanjani akionyesha kipaji chake
No comments:
Post a Comment