
Misa na heshima ya mwisho kwa marehemu itaanza saa Sita mchana (12:00 pm) hadi saa Saba mchana (1:30 pm). Baada ya misa, tutafanya mazishi na kurudi ukumbini kusherehekea maisha ya mtoto Esther hapo hapo Fort Lincoln.
Anuani ya sehemu ya mazishi:
3401 Bladensburg Road,
Brentwood, MD 20722
Kwa muongozo zaidi wasiliana na:
Peace Kachuchuru 301 367 6378
Jessica Mushara 301 807 4934
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment