ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 28, 2016

PICHA: MWILI WA PAPA WEMBA WAWASILI KINSHASA LEO

Sehemu ya Waombolezaji nchini Congo, wakipokea Jeneza lenye Mwili wa aliekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Rhumba, Marehemu Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba Maarufu kwa Jina la Papa Wemba, ulipowasili kwenye Uwanaj wa Ndege wa Kimataifa wa Kinshasa, Nchini Congo ukitokea Nchini Ivory Coast. Marehemu Papa Wemba alifikwa na Umauti, katika moja ya Onyesho la Muziki wake, Jijini Abidjan Ivory Coast, hivi karibuni.
Sehemu ya Waombolezaji wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kinshasa.

1 comment:

Anonymous said...

mungu amlaze mahali pema anapostahili.amen.

pumzika kwa amani papa wemba.