Advertisements

Friday, April 29, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA

 Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukielekea Dodoma kwa barabara kutokea jijini Dar es Salaam Aprili 28, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Charles Kitwanga mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu.

No comments: